HABARI NA MATUKIO YA WIKI

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI KINONDONI AYATUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YOTE MATATU YA CCM,CHADEMA...

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Kinondoni ambaye pia mkurugenzi wa manispaa hiyo, Aron Kagurumjuli ameyatupilia mbali mapingamizi matatu yaliyowasilishwa na wagombea wa vyama...

NABII TITO MIKONONI MWA POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma inadaiwa limemtia mbaroni mkazi mmoja wa mkoani humo anayejitangaza kama nabii, Tito Machija, ambaye amekuwa akionekana mitandaoni akifanya...

FAMILIA 11 ZAKOSA MAKAZI BAADA YA KUZUKA MOTO MKUBWA NA KUTEKETEZA...

NA JOSEPH NGILISHO Nyumba yenye vyumba 15 vya  wapangaji wa kuishi na maduka inayomilikiwa na mfanyabiashara Hussein Gonga iliyopo eneo la Kaloleni jijini Arusha imeungua...

George Weah aapishwa urais wa Liberia Leo

Nyota wa zamani wa kandanda duniani George Weah ameapishwa leo na kuwa Rais wa Liberia katika sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya watu katika mji...

DHAMANA KESI YA UHUJUMU UCHUMI KUJULIKANA FEBRUARI 5 MWAKA HUU

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema Februari 5, mwaka huu, itatoa uamuzi dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabiki Mkurugenzi...

WAZIRI LUKUVI”HAKUNA MWANANCHI ATAKAYE DHULUMIWA ARDHI YAKE”

Serikali imesema hakuna mtu yeyote atakaye nyang’anywa ardhi yake katika zoezi la mpango mji ambalo linaendelea katika baadhi ya mikoa hapa nchini ambapo wananchi...

MZIMU WA KUAMA CHAMA WAZIDI KUITAFUNA CHADEMA

WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Manyara...

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 22, 2018

                                                                         

Mvua yakwamisha Magari zaidi ya 200 baada ya daraja kusombwa...

Magari zaidi 200 yakiwepo ya watalii yaliyokuwa yanaelekea Karatu kwenda Hifadhi ya Ngorongoro na Serengeti yamekwama katika eneo la Makuyuni baada ya daraja kusombwa...