JK ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI WA KISIASA NA UTETEZI

0
20

Rais  Mstaafu dKT. Jakaya Mrisho Kikwete  akipokea Tuzo ya  Uongozi wa Kisiasa na  Utetezi kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa  Speak Up Afrika  Bi Kate  Campana,  katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis  New York Marekani. Tuzo hiyo  ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani  afya kwa   kwa wanawake na watoto.

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya MrisJK 2ho Kikwete akizungumza  baada ya kukabidhiwa Tuzo yake  na katika shukrani zake za kukubali   Tuzo hiyo, amesema Tuzo hiyo ni kwa watoto wote wa Afrika ambao ndio  wamemwezesha yeye kupata Tuzo