30 WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUWAJI YA WATAFITI WA UDONGO MKOANI DODOMA

0
372

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma Linawashikilia watu thelasini ikiwemo wanaume 21 na wanawake 9 kwa upelezi kuhusiana na mauwaji ya watafiti wa kituo cha utafiti wa udongo Selian Arusha

Akizungumza na Mtangazaji wa Kipindi cha HII LEO cha Sunrise Radio Arusha Dionis Sikutegemea Moyo kamanda  wa polisi Mr.Lazaro Mambosasa amesikika akisema….