Hakan Çalhanoğlu  ndio mchezaji bora wa wiki Bundesliga

0
26

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uturuki na mshambuliaji wa timu ya Bayer Leverkusen Hakan Çalhanoğlu  achaguliwa kama mchezaji bora wa wiki katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga

Michezaji wa timu ya taifa ya Uturuki na mshambulia Bayer Leverkusen  ya Ujerumani Hakan Çalhanoğolu mwenye umri wa 22 achaguliwa kama mchezaji bora wa wiki katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.

Kwa mujibu uchunguzi uliofanywa kupitia tovuti ya Bundesliga.com Hakan alijinyakulia asilimia 44  kwenye orodha ya wachezaji waliochaguliwa katika wiki ya 6 ya ligi hiyo.

Hakan alitunukiwa tuzo hiyo  baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika mechi ya Bayer Leverkusen dhidi ya  Borussia Dortmund ambapo Bayer Leverkusen waliibuka na ushindi wa bao 2-0.