Filamu ya Mtume Muhammad kuziduliwa mwezi Oktoba

0
39

Filamu ya maisha ya Mtume Muhammad kuzinduliwa tarehe 28 Mwezi Oktoba

Filamu kufuatia maisha ya Utotoni na Ujana wa Mtume Muhammad pamoja na kuelezea mwanzo wa uislamu iliobeba jina (Muhammad is the Messenger of God) Muhammad ni Mtume wa Mungu itazinduliwa tarehe 28 mwezi Oktoba.

Filamu hiyo ilitayarishwa na mtayarishaji kutoka Iran Majid Majid.

Filamu hiyo inaelezea maisha ya Mtume Muhammad kuanzia utotoni hadi alipofikia umri wa miaka 12 pamoja na matokio yaliyotokea katika mji wa Makkah.

Waigizaji muhim katika filamu hiyo iliyotayarishwa mnamo mwaka 2015 ni pamoja na   Sareh Bayat, Mohsen Tanabandeh,Rana Azadivar,Ali Reza Shoja-nuri na Mina Sadati.