TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JWTZ

0
43

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu

wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri
(wapili kushoto), alipotembelea Makao Makuu  ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe12 Octoba 2016.
picha-no-1
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la
Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri, alipotembelea
Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016,
wakati wa ziara ya kikazi nchini.

Source:Michuzi blog