DC GEITA AMEZITAKA HALMASHAURI ZOTE KUPIMA ARDHI KABLA WAWEKEZAJI KUANZA KUWEKEZA

0
30

Kufuatia kuongezeka kwa migogoro ya ardhi kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini mkuu wa wilaya ya Geita Henry Kapufi amezitaka Halmashauri kupima maeneo kabla ya wawekezaji hawajawekeza kwenye maeneo hayo.

Bonyeza play kusikiliza akifafanua zaidi…….