KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA MWALIMU NYERERE

0
35

Leo Tanzania inaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia.Kitaifa maadhimisho haya huambatana na sherehe za kuzima Mwenge na kwa mwaka huu itafanyika katika mkoa wa Simiyu.6

Akiwa mgombea wa Urais mwaka jana Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huko kijijini Mwitongo, Butiama, mkoani Mara akiwa ameongozana na ujumbe wake.
591565502
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiongea na viongozi mbalimbali waliomtembelea Butiama
254724_260536920640492_100000525597189_1008841_409403_n
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na Waziri Mkuu wa India Indira Ghandi pamoja na Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, Rais Josef Tito wa Bulgaria, Milton Obote wa Uganda na Sir Seretse Khama wa Botswana93992000fe74a981_landing

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akikumbatiana na aliyekuwa mgombea Urais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya matokeo kutoka na Mhe. Benjamin Mkapa kutangazwa mshindi kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu mwaka 1995.