KUMBUKUMBU:MWALIMU AKIWA NA WANAHABARI ENZI ZA UONGOZI WAKE

0
29

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kati) akiwa na baadhi tu na wanahabari waliomsaidia kwenye nyanja ya habari. katika enzi za uongozi wake wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Marehemu Sammy Mdee, Marehemu Paul Sozigwa, Marehemu Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa, ambaye alikuja kuchukua nafasi yake kwenye awamu ya Tatu.