CHRIS DIZZO: “BURUNDI KUNA WASANII WENYE UWEZO MKUBWA TATIZO HAWAPATI SUPPORT

0
94

Msanii mkubwa kutokea kwenye Sanaa ya Mziki Nchi Burundi Chris Dizzo ambaye anaishi nchini South Africa amesema Burundi kuna wasanii wenye uwezo mkubwa wa kufanya mziki Mzuri ila hamna mtu anayeweza kuiongoza sanaa ya Burundi kama ilivyo kwa Tanzania mfano Alikiba na Diamond Ameyasema hayo akipiga story  na Dj. Dix katika kipindi cha burudani cha  Fleva Plus cha Sunrise Radio 94.9FM  akiongea mojakwa moja   kutokea South Africa huyu hapa Chris Dizzo …………