Ice Boy: ”NATAMANI SANA KUFANYA KAZI NA WASANII WA ZAMANI WA BONGO FLEVA

0
139

Msanii Iceboy kutoka hapa nyumbani Tanzania amesema sasa hivi anatamani kufanya kazi na wasanii wa kitambo kama Enika,Sister P na Nakaaya kwa kuwa wanamuziki waliokuwa wanafanya mziki zamani wanajua mziki sana ila wapo nyuma ya Teknolojia Je? Msanii gani wa sasa hivi unatamani afanye kazi na msanii yupi wa Zamani