Washukiwa 27 wa kundi la kigaidi la PKK wakamatwa jijini Istanbul

0
29

Operesheni dhidi ya magaidi jijini Istanbul siku ya Jumatano yafanikisha kukamatwa kwa magaidi 27 wanaoshukiwa kuwa wa PKK jijini Istanbul.

Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa ni kwamba magaidi hao  wangesambazwa katika miji tofauti Uturuki kutekeleza mashambulizi ya kigaidi .

Taarifa zafahamisha kuwa magaidi hao wamekamatwa katika mikoa tofauti tofauti jijini Istanbul.

Nyaraka kadhaa za PKK zilipatikana pamoja na vifaa vya elektroniki.