MREMA AVUNJA UKIMYA RIPOTI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MCHANGA ; AWAASA WAPINZANI KUACHA KUSUTA RAIS

0
66

SIKU MOJA MARA BAADA YA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOA MAAMUZI JUU YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MAKENIKIA; HII LEO ALIYEKUWA WAZIRI MKUU MSAAFU WA AWAMU YA PILI  AMBAYE PIA KAWA SASA  NI MWENYEKITI  WA PAROLE AMEVITAKA VYAMA VYA UPIZNANI KUACHA MANENO KWA KUMSEMA VIBAYA RAIS  NA KUTOA MTIZAMO WAKE