DIWANI WA KATA YA NGABOBO WILAYA YA MERU AJIUZULU WADHIFA HUO NA KUUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA TANO

0
136
 Aliyekuwa Diwani Wa Chadema Ndugu Solomon Laizer atangaza kujiuzulu nafasi yake ya udiwani pamoja pia na viongozi wenzake wa chadema  ili  Kuunga mkono   Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Kwa Taifa.
Uamuzi huo uliochokukiwa na diwani huyo pamoja pia na viongozi hao wa Chadema katika kata hiyo wa kujiuzulu nafasi zao zimebainishwa na viongozi hao waliojiuzulu katika Kata ya Ngabobo wakati wakizungumza katika mahojiano na tovuti hii
sauti ya Mwenyekiti Kata ya Ngabobo akidhibitisha kujiengua CHADEMA

Hata hivyo Mkurugenzi mtenda wa halmashauiri ya Wilaya ya Meru ndugu Japhet Kaizeri aliweza kuelezea sababu za diwani huyo kujiuzulu mara baada ya kupokea barua yake..

Sauti ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Meru akikiri kupokea barua za viongozi hao kujiuzulu