PICHA : Mbunge wa Jimbo la Siha Dr. Godwin Mollel ameshiriki katika harambee ya kuchangia fedha ya ujenzi wa nyumba za mapadri na kiasi kilicho patikana ni milioni 47 katika kanisa katoliki la Mt. Fransisco Exavery Olosipa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha

0
202

Mbunge Godwin Mollel (kushoto) akiwa  na Mwenyekiti wa Parokia ndg. Dionis Sikutegemea Moyo
Mwenyekiti wa Parokia ndg. Dionis Sikutegemea Moyo
Moja wa wajumbe mbalimbali wakiwasilisha michango yao
Moja wa wajumbe mbalimbali wakiwasilisha michango yao
Wgeni waalikwa walio weza kujitokeza katika harambee hiyo
Wgeni waalikwa walio weza kujitokeza katika harambee hiyo