BREAKING NEWS:Tundu Lisu apigwa risasi na watu wasiojulikana

0
269

Taarifa za awali zinasema :Mbunge wa Singida Mashariki mjini Mh Tundu Lisu amepigwa risasi na kujeruhiwa na watu wasio julikana akiwa mjini Dodoma,Kwa mujibu Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Firiman Mboye inasemekana hali yake ni mbaya na sasa yupo katika hospitali ya mkoa wa dodoma