MOTO WAZUKA KATIKA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI MJINI MOSHI MCHANA WA LEO

0
45

Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza majira ya Saa 6: 47 za mchana hata hivyo jeshi la zima moto kutoka Kiwanda cha TPC kwa kushirikiana na jeshi la polisi wanaendelea na jitihada za kuzima moto huo.