Matokeo ya mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA) timu kubwa zafanya mauaji.

0
218

michuano ya ufunguzi wa mechi za klabu bingwa barani ulaya (UEFA) ilifanyika jana, Barcelona wakiitundika Juventus goli 3-0, PSG ikiitungua Celtic kwa jumla ya magoli 5-0, huku Chelsea ikiilaza bila huruma Qarabag goli 6-0, na Manchester United wakiimaliza Basel kwa goli 3-0, Benfika wakiwa nyumbani wamechezea kipigo cha bao 2-1 toka kwa CSKA Moscow, Olympiacos nao wakiwa nyumbani wakafungwa 3-2 na Sporting CP.