ESTHER MAHAWE”MABINTI WALIO FANIKIWA WAMEPITIA HATUA NNE ZA UVAAJI WA MAGAUNI”

0
20

Mbunge wa Viti Maalum Esther Mahawe asisitizia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Winning Spiriti kupitia stage nne za uvaaji wa magauni ambazo hazita mtia doa kwenye maisha yake ,

Ameyasema hayo siku ya tarehe 6/10/2017 Ijumaa  akiwa katika mahafali ya tisa ya shule hiyo