NA HAWA MSANGI

Akizungumza kupitia kipindi cha Hii leo cha Sunrise Radio Kamanda wa Polisi Kusini Pemba  Mohamed S Mohamed  Amedhibitisha kuwashikilia waalifu wa madawa ya kulevya amesema bado jeshi la polisi linawashikilia watu hao kwaajili ya kukamilisha upelezi ……

Sauti ya Kamanda Mohamed