AKIZUNGUMZIA KUKAMATWA KWA WANAHABARI HAO KAMANDA WA POLISI MKOANI HUMO SIMON HAULE AMESEMA KUWA WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MARA BAADA YA KUWALAGHAI WANANCHI KWA KUJICHUKULIA FEDHA ZAID YA MILIONI MOJA