MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETI MAGUFULI WAMESHIRIKI IBADA YA MAJIVU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM.

0
15

 

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janet Magufuli akiwa amemshika Mtoto Joshua ambaye alikuwa ameambatana na mama yake nje ya kanisa kabala ya Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwa katika Ibada ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko Vernance Mtegete wakati wa Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janet Magufuli na waumini wengine  mara baada ya kupaka majivu  wakati ibada ikiendelea katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na paroko wa Parokia ya Mtakatifu Joseph Padre Vernance Mtegete mara baada ya Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mkono na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki pamoja na Padre Vernance Mtegete mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki pamoja na Padre Vernance Mtegete mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.