LATEST ARTICLES

Viziwi waomba kushirikishwa kwenye mipango ya maendeleo

Mwenyekiti wa chama cha viziwi nchini Nidrosy mlau ameishauri serikali kuangalia upya sera ya ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu wa kusikia kwenye mipango ya...

Madiwani wa Halmashauri mbili za Geita na GGM washindwa kufikia...

Kikao cha kutafuta suluhu ya mgogoro kati ya madiwani wa halmashauri mbili za Wilaya ya Geita na mgodi wa dhahabu wa GGM kimekwama kufanyika...

Polisi aua watu wawili akijihami

Watu wawili wamekufa kwa kupigwa risasi na askari polisi baada ya kuibuka mzozo kuhusu ng’ombe waliokamatwa katika Kijiji cha Nyalutanga wilayani Morogoro. Pia, imeelezwa...

Wakazi wa mji wa Babati wasusia kukabidhiwa mradi wa maji ...

Wakazi wa kijiji cha Nakwa kilichopo katika Halmashauri ya mji wa Babati  Mkoani Manyara wamelalamikia Halmashauri hiyo  kwa kuwakabidhi mradi wa maji  safi ya...

Serikali yatoa angalizo kuepusha vifo maeneo Yaliyo Karibu na Kambi za...

Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta amewataka wananchi wanaochunga mifugo eneo linalotumika kwa mafunzo ya kijeshi kutoa taarifa kwenye kambi za Jeshi la...

Ajali yauwa Watanzania 13 Uganda

Watanzania 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani kilomita 80 kufika kituo...

Kampuni ya Almasi ya Petra mikononi tena mwa Serikali ya Tanzania

Shughuli zimeanza tena katika mgodi mkubwa zaidi wa madini ya almasi nchini Tanzania, licha ya mzozo na serikali hiyo, ambayo ilikamata bahasha iliyokuwa na...

Umaskini wasababisha ongezeko la uhalifu Sudan Kusini

Kiwango cha uhalifu unaohusisha uporaji wa kutumia silaha kwenye barabara kuu, uvunjaji wa nyumba na udokozi umekuwa ukiongezeka kutokana na kiwango cha juu cha...

Dereva wa Mbunge shambuliwa kwa shoka na watu wasio julikana

Suezi Dan Maradufu (45), dereva wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameshambuliwa na watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo na kumjeruhi usoni. Akiwa amelazwa...

Madiwani wawili na baadhi ya wananchi washikiliwa na polisi kutokana na...

Madiwani wawili kuwekwa rumande na kuvunjwa kioo cha gari la halmashauri ni miongoni mwa matukio yaliyotikisa mjini Geita, polisi walipowadhibiti wawakilishi hao wa wananchi...

Ndege iliompleka Lissu Nairobi yazua mzozo

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemjia juu Spika wa Bunge, Job Ndugai akimtaka kuacha kudanganya kuwa ndege iliyomsafirisha Tundu Lissu ilikodiwa na...

Yusuf Manji Sasa yuko huru

Mahakama imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati mahakamani hapo ikionyesha kuwa...

Zifahamu Dalili ,Vyanzo na Aina za magonjwa ya fangasi yanayo...

MADA ZA AFYA Na Dr Samson Kibona wa Antipa Herbal Clinic 1.       MAGONJWA YANAYOTESA WANAWAKE Kuna aina nyingi za magonjwa ktk jamii, yapo ya watu wazima waume kwa...