7 wakamatwa kwa wizi wa umeme Arusha

Watu 7 wamekamatwa mkoani hapa kwa tuhuma ya kujiunganishia umeme kinyemela. Kwa mujibu wa Shirika la umeme mkoa wa Arusha limesema kuwa kukamatwa kwa...

Bomba la mafuta kupita mikoa minane,vijiji 184

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kaleman amesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya...

MAONESHO YA 24 YA NANE NANE ARUSHA- PIGA SIMU HII KWA...

tembelea sasa katika banda la water filter tanzania  nane nane njiro -arusha ujipatie filter ya kuchuja maji safi ya kunywa wasiliana nao kwa namba...

WALANGUZI WA MAZAO YA WAKULIMA KUDHIBITIWA

Siku moja tangu  Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene asema kuwa serikali itadhibiti walanguzi wa mazao ya wakulima; baadhi ya wakulima wamesema kuwa hilo litakuwa...

Tetesi za usajili wa soka Ulaya

Mshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe, mwenye miaka 18, ameamua kuondoka klabu hiyo huku Real Madrid, Manchester City na Paris Saint-Germain zikipambana kumsajili. Barcelona tayari...

Wafanyabiashara nchini Kenya wapata hasara wakati uchaguzi mkuu ukikaribia

Wafanyabiashara wadogo katika jiji la Nairobi nchini Kenya wanapata hasara wakati biashara zao zikishuka kidhahiri kutokana na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo nchini...

Magufuli ataka kufuta hati ya shamba la Chavda

Rais John Magufuli amesema anasubiri taarifa kutoka kwa kamishna wa ardhi ili aweze kuifuta hati ya shamba la Chavda na kulirejesha kwa wananchi. Amesema notisi...

Wakimbizi 6,700 raia wa Burundi wajiandikisha kurejea makwao kwa Hiari

 Kufuatia wito wa Rais John Pombe Magufuli alioutoa hivi karibuni, hadi kufikia tarehe 01 Agosti, 2017 jumla ya wakimbizi 6,700 raia wa Burundi wameshajiorodhesha...

Bolt aonya dhidi ya matumizi ya dawa ya kusisimua misuli

Mwanariadha mahiri kutoka Jamaica Usain Bolt anasema wanariadha ambao wanatumia dawa za kusisimua misuli lazima waache tabia hiyo kwani inahatarisha maisha yao na michezo...

Uamisho wa wachezaji barani ulaya

Mshambuliaji wa Brazil Neymar Junior bado anapania kuondoka klabu ya Barcelona na kujiunga na Paris Saint Germain ya Ufaranza. Duru zinaarifu kuwa japo Barcelona...

Bei ya mafuta yashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetoa bei kikomo ya bidhaa za mafuta aina ya petroli kwa Agosti , ambazo...

Mkurugenzi wa kompyuta wa IEBC akutwa amekufa

Mkurugenzi wa kitengo cha kompyuta (ICT) wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Chris Musando aliyepotea Ijumaa usiku amekutwa amefariki dunia. Polisi wamesema...

Majadiliano Tanzania na kampuni ya Barrick Gold yaanza

Majadiliano kati ya kamati maalumu iliyoundwa na Rais John Magufuli na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa...