Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara Joel Bendera afariki dunia

Taarifa iliyoifikia  leo inaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel  Nkaya Bendera,  amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili  jijini Dar...

Olimpiki: Timu ya Taifa ya Urusi yazuiwa kushiriki katika majira ya...

Timu ya taifa ya Urusi imezuiwa kushiriki mashindano ya olimpiki ya majira ya baridi yatakayofanyika mwakani mjini Pyeongchang nchini Korea Kusini. Lakini licha ya kifungo...

AFISA USAFIRISHAJI ARUSHA ASIMAMISHWA KAZI ….ADAI SIO UZEMBE WAKE ANAPOTOSHWA NA...

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athumani Kihamia amemsimamisha kazi Afisa usafirishaji wa jiji, Edward Mariko kwa makosa ya uzembe kazini ya kuto wajibika kwa...

TETEMEKO LA ARDHI LILILO TOKEA DODOMA LINA UKUBWA WA 5.1 KIPIMO...

Wataalamu wa jiolojia wamesema kuwa tetemeko la ardhi limetokea Kata ya Aneti wilayani Chamwino usiku wa kuamkia jana lina ukubwa wa 5 katika kipimo...

WATAALAMU WA SEKTA YA MIFUGO NCHINI WAAGIZWA KUTAFUTA MAJIBU YA UTATUZI...

Wataalamu wa sekta ya mifugo nchini wamesisitizwa kuandaa mikakati itakayoweza kuja na majawabu ya utatuzi wa migogoro kati ya wakulima na wafugaji nchini. Aidha licha...

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI KULIPA BILI YA...

Na Michael Nanyaro Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Mh Juma Aqweso amezitaka taasisi za serikali zinadaiwa zaidi ya shs. bilioni 39 nchi nzima na...

Raundi ya tatu ya kombe la FA Uingereza

Hatimaye, ratiba ya mzunguko wa tatu ya michuano ya kombe la chama cha soka cha Uingereza (FA), imetangazwa usiku wa kuamkia leo na mechi...

JAMAICA KUTENGENEZA SANAM LA USAIN BOLT

Serikali ya Jamaica imeeleza sababu za kutengeneza sanamu la mwanariadha Usain Bolt na kisha kuliweka katika lango kuu la uwanja wa taifa wa michezo...

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AAGIZA PSPTB KUDHIBITI TAASISI...

MAKAMU wa Rais dkt Samia Suluhu,ameiagiza bodi ya ununuzi na ugavi nchini,PSPTB kuchukua hatua kali kwa taasisi za umma na binafsi zinazoendelea kuajiri watumishi...

Serikali yashauriwa kuboresha sheria ya uvuvi

Serikali imeshauriwa kuboresha sheria ya uvuvi ili kuwabana wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu wa kutumia milipuko. Imeelezwa kutokana na sheria kutotoa adhabu kali kwa...

SERIKALI KUTOA AJIRA KWA WAALIMU ELFU 11

Serikali imepanga kuajiri walimu 11 ELFU  wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha wa 2017/18. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala...

Kombe la Dunia Soka: Russia yatangaza kukamilisha maboresho ya viwanja

Siku chache baada ya Droo ya upangaji wa makundi ya timu zitakazoshiriki mashindano ya kombe la dunia mwaka 2018, Urusi ambao ni waandaaji wametangaza...

PITIA HAPA KURASA ZA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 4 /2017

Posted by Peter Massacky

MKOA WA NJOMBE WAONGOZA KWA ASILIMIA 11.4 IDADI YA WAATHIRIKA WA...

Mkoa wa Njombe umetajwa kuongoza kuwa na asilimia 11.4 ya watu wanaishi na virusi vya Ukimwi huku Zanzibar wanaoishi na virusi hivyo ni chini...

TYSON FURRY AMETAKA KUIGANA NA MTU MWENYE JINA KUBWA PINDI...

Bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani Tyson Fury amesema atapenda kupigana na mtu mwenye jina kubwa iwapo atarejea uwajani. Fury mwenye miaka 29...