Lipumba Atishia Kumpiga Marufuku Maalim Seif Kufanya Mikutano Tanzania Bara

Mwenyekiti    wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atampiga marufuku Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kufanya mikutano ya kisiasa Tanzania...

NIDA kuanza kutoa namba za vitambulisho Desemba

Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuanzia Desemba mwaka huu mpaka Januari 2017 itaanza kutoa namba maalum za utambuzi kwa wananchi. Mkakati...

Kaimu Balozi wa Marekani atembelea kituo cha matangazo cha Sunrise Radio...

Kaimu Balozi Virginia Blaser akifanya mahojiano ya moja kwa moja na Mtangazaji Baraka Sunga ndani ya 94.9fm Sunrise Radio ambapo hasa amezungumzia dhumuni la...

Mgonjwa ashindikana kutibiwa Muhimbili kwa kuwa mrefu kuliko binadamu wa kawaida

Kijana Baraka Elias Mashauri mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Musoma mkoani Mara ameshindwa kupata matibabu katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana...

Orodha ya vyuo 26 vilivyofutiwa usajili na NACTE leo

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika cheti...

Madini ya Bilioni 3 Yakamatwa Yakitoroshwa

Siku chache baada ya Rais John Magufuli kusema kuna utoroshaji mkubwa wa madini kupitia viwanja vya ndege vilivyopo migodini, Wakala wa Ukaguzi wa Madini...

CCM yauza shule kinyemela

Shule ya Sekondari ya Tegeta inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM, inadaiwa kuuzwa kinyemela kwa Chuo Kikuu cha Mzumbe. Shule hiyo yenye kidato...

Serikali yapingwa matumizi ya misaada ya tetemeko

Msimamo wa Serikali wa kutumia michango iliyotolewa kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kujengea miundombinu umeendelea kupingwa, huku...

Donald Trump afanya uteuzi wa awali.

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua mwenyekiti wa kamati ya taifa ya chama cha Republican, Reince Priebus, kutumika kama mkuu wa wafanyakazi. Bwana Priebus...

PICHA 15: Viongozi wa serikali walivyoshiriki kuuaga mwili wa Samuel Sitta...

Leo November 11 Rais John Magufuli ameongoza viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi wa Dar es salaam kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa...

Yanga wamaliza mzunguko wa kwanza kwa kuichapa Ruvu Shooting

Klabu ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara, wamemaliza michezo ya mzunguko wa kwanza kwa ushindi dhidi ya Ruvu...

Alikiba atoa la moyoni baada ya MTV EMA kumtangaza Best African...

Siku chache zilizopita, kulitokea sintofahamu baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ya tuzo hizo, kura zilionesha kuwa ni Alikiba ndiye aliyeshinda. Lakini baada...

Janga la Kipindupindu Haiti

Baada ya zaidi ya mwezi mmoja kukumbana na kimbunga cha Mathew sasa balaa nyingine la maradhi ya kuambukiza ya Kipindupindu lajitokea huko nchini Haiti Kampeni...

Atozwa faini baada ya kutoa tahadhari ya bomu ya uongo akihofia...

Raia mmoja wa India amejipata matatani baada ya kutoa tahadhari ya uongo  katika ndege aliokuwa anataraji kusafiri nchini Uswisi. Tukio hilo limetokea katika uwanja wa...

Serikali ya Ufaransa yatangaza uwezekano wa kufungwa kwa misikiti mengi zaidi...

Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve, amesema kwamba misikiti mengi zaidi inaweza kufungwa kufuatia hali ya dharura inayoendelea nchini humo. Katika wiki...

Baada ya Lema kukaa mahabusu siku saba, leo amefikishwa mahakamani

Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema ambaye alishtakiwa kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya viongozi wa serikali, leo November 8 amefikishwa...