Tizeba azitaka taasisi kuwajengea uwezo wakulima

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk Charles Tizeba amezitaka taasisi na Mashirika ya Maendeleo ya kilimo nchini, kuwajengea uwezo wakulima ili kuongeza thamani ya mazao....

Serikali kuteua maofisa wakaguzi mazingira 200

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ),January Makamba amesema Serikali hivi karibuni itawateua maofisa wakaguzi wa mazingira 200 kwa...

NAPE AIKANUSHA AKAUNTI FEKI YA TWITTER

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameukanusha ujumbe unaotumwa kupitia akaunti ‘feki’ ya twitter yenye jina lake na kuwataka wanaofanya...

Rais JPM awaapisha mawaziri wapya

Rais John Magufuli amewaapisha mawaziri wawili aliowateua hivi karibuni katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali. Mawaziri walioapishwa...

Binti wa miaka 18 abakwa……….arubuniwa ajira

Vijana wawili wanao kadiriwa kuwa na umri wa miaka 28 wamembaka binti mdogo mwenye umri wa miaka 18 katika kitongoji cha Majengo  kijiji cha Magugu...

Rais afanya ziara ya kushtukiza bandarini

Rais John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam leo. Katika ziara hiyo Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya...

Nape azungumza chini ya ulinzi wa polisi

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amezungumza na wanahabari nje ya hoteli ya Protea baada ya mkutano wake kuzuiwa na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa...

Jukwaa la wahariri Tanzania (TEF)latoa tamko……Juu ya RC Makonda

Jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) limeazimia kwa pamoja kutoandika wala kutangaza Habari zote zinazomuhusu Mkuu wa mkoa wa DSM Paul Makonda na kumtangaza kiongozi...

SIMBA SC KUMENYANA NA MERERANI STARS LEO

VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba SC leo wanatarajiwa kuwa na mchezo wa kirafiki na Mererani Stars utakaofanyika Uwanja wa CCM...

Watoto wa mitaani kuunganishwa na familia zao

Serikali imesema kwa sasa imeandaa mpango wa miaka mitano wa kusadia watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani ili waweze kupata elimu na kuwaunganisha pamoja...

Ice Boy: ”NATAMANI SANA KUFANYA KAZI NA WASANII WA ZAMANI ...

Msanii Iceboy kutoka hapa nyumbani Tanzania amesema sasa hivi anatamani kufanya kazi na wasanii wa kitambo kama Enika,Sister P na Nakaaya kwa kuwa wanamuziki...

JPM amtaka Makonda aendelee kuchapa kazi

Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye...

DROO YA ROBO FAINALI MABINGWA ULAYA YAFANYIKA MCHANA HUU

Droo ya robo fainali ya kombe la Mabingwa Barani Ulaya imefanyika leo mchana kwa timu nane zilizoingia kwenye hatua hiyo kupangwa. Mechi hizo zitaanza kupigwa...

RAIS DKT. MAGUFULI AFUTA AGIZO LA KUFUNGA NDOA KWA SHARTI LA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa jana na...

JPM mbioni kuhamia Dodoma

Rais John Magufuli leo (Alhamisi) ametembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa atahamia Dodoma hivi karibuni kama alivyoahidi. Rais...

Tundu Lissu Asafirishwa Kuelekea Dar es Salaam Akidaiwa Kuruka Masharti ya...

Mbunge Tundu Lissu(CHADEMA) amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo nyumbani kwake Dodoma na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa kwenda Dar...

Hashim Rungwe amvaa Dkt. Mwakyembe…..Amtaka asiivuruge TLS

Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe kuacha kuingilia mambo yanayohusu chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) hasa...

Mawakili wa Manji wawasilisha ombi Mahakamani Kuhusu kesi yake kwamba sio...

Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji amewasilisha hati ya kuiomba Mahakama Kuu iwaagize maofisa Uhamiaji wamfikishe mahakamani ili kesi yake isikilizwe kwa mujibu wa sheria. Manji yuko...