YANGA YATAMBULISHA BENCHI JIPYA LA UFUNDI

HATIMAYE klabu ya Yanga leo imemtambulisha rasmi, Mzambia George Lwandamina kuwa kocha wake mpya na Hans van der Pluijm kuwa Mkurugenzi wa Ufundi. Akizungumza na...

Bibi amlisha kinyesi mjukuu wake Jijini Mwanza

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Amina Hamisi (56) mkazi wa mtaa wa mahina kata ya Butimba Jijini Mwanza, anashikiliwa na polisi baada ya...

SIMBA YAITISHA MKUTANO WA MABADILIKO YA KATIBA WAMKABIDHI TIMU MO DEWJI

KAMATI ya Utendaji ya Simba SC iliyokutana Novemba 18, Dar es Salaam imeitisha mkutano maalum kwa ajili ya mabadiliko ya Katiba utakaofanyika mwezi ujao...

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kasulu Mjini(NCCR) na kuhamia ACT-Wazalendo, Moses Machali...

Kutoka mezani kwangu Moses Joseph Machali, Tarehe: 21/11/2016 Napenda kuutaarifu umma wa Watanzania kupitia kwenu waandishi wa habari kwamba ni jambo la ajabu na aibu...

Rais Magufuli ateua Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 20 Novemba, 2016 amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna...

Godbless Lema Akwama Tena Kupata Dhamana…….Arudishwa Gereza la Kisongo, Hatima Yake...

Hatma ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), ilishindwa kujulikana jana baada ya mawakili wa Serikali kuweka pingamizi, wakipinga Mahakama Kuu,...

Mwanamke Afariki akiombewa kwa ‘Nabii’ Jijini Arusha…..Dada Yake Amkuta Bila Nguo...

Mwanamke  mkazi wa Unga-Limited jijini Arusha , Lightness Kivuyo ameripotiwa kufa wakati akifanyiwa maombi nyumbani kwa mchungaji aliyejulikana kama ‘Nabii Rajabu’ eneo la Kwa-Mrombo...

Lipumba Atishia Kumpiga Marufuku Maalim Seif Kufanya Mikutano Tanzania Bara

Mwenyekiti    wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atampiga marufuku Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kufanya mikutano ya kisiasa Tanzania...

NIDA kuanza kutoa namba za vitambulisho Desemba

Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuanzia Desemba mwaka huu mpaka Januari 2017 itaanza kutoa namba maalum za utambuzi kwa wananchi. Mkakati...

Kaimu Balozi wa Marekani atembelea kituo cha matangazo cha Sunrise Radio...

Kaimu Balozi Virginia Blaser akifanya mahojiano ya moja kwa moja na Mtangazaji Baraka Sunga ndani ya 94.9fm Sunrise Radio ambapo hasa amezungumzia dhumuni la...

Mgonjwa ashindikana kutibiwa Muhimbili kwa kuwa mrefu kuliko binadamu wa kawaida

Kijana Baraka Elias Mashauri mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Musoma mkoani Mara ameshindwa kupata matibabu katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana...

Orodha ya vyuo 26 vilivyofutiwa usajili na NACTE leo

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika cheti...

Madini ya Bilioni 3 Yakamatwa Yakitoroshwa

Siku chache baada ya Rais John Magufuli kusema kuna utoroshaji mkubwa wa madini kupitia viwanja vya ndege vilivyopo migodini, Wakala wa Ukaguzi wa Madini...

CCM yauza shule kinyemela

Shule ya Sekondari ya Tegeta inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM, inadaiwa kuuzwa kinyemela kwa Chuo Kikuu cha Mzumbe. Shule hiyo yenye kidato...

Serikali yapingwa matumizi ya misaada ya tetemeko

Msimamo wa Serikali wa kutumia michango iliyotolewa kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kujengea miundombinu umeendelea kupingwa, huku...