Miaka 115 ndio ‘mwisho wa maisha’ kwa binadamu

Wanasayansi nchini Marekani wamesema baada ya kufanya utafiti wamegundua huenda umri mkubwa zaidi ambao binadamu anaweza kuishi duniani ni miaka 115. Matokeo ya utafiti huo...

Marufuku nyama ya kuku nchini China

Marufuku ya nyama ya kuku China Serikali ya China yapiga marufuku uuzaji za kuku zilizozalishwa kwa mbinu mpya ya uzalishaji kwa kutumia homoni . Raia wengi...

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Oktoba, 2016 amezindua kiwanda cha kusindika matunda kinachomilikiwa na kampuni...

Al Shabaab wavamia Mandera nchini Kenya,6 wafariki

Al Shabaab wavamia Mandera nchini Kenya,6 wafariki Polisi Kaskazini Mashariki mwa Kenya mjini Mandera watu sita waripotiwa  kuwawa baada ya shambulizi kutekelezwa na wanamgambo wa Al...

Waasi wa Uganda wahukumiwa kifo DRC

DRC yatoa hukumu ya kifo dhidi ya waasi 10 wa Uganda kwa madai ya ukiukaji wa haki za kibinadamu Waasi 10 wa Uganda wameripotiwa kupewa...

Reli ndefu zaidi Afrika ya treni za umeme yazinduliwa Ethiopia

Waziri mkuu wa Ethiopia azindua rasmi reli ndefu zaidi Afrika ya treni za umeme katika mji mkuu wa Addis Ababa Ethiopia imezindua reli ndefu zaidi...

VIDEO: Maamuzi ya serikali baada ya kuona ile video walimu wakimpiga...

Moja ya headline iliyochukua nafasi katika baadhi ya mitandao ya kijamii ni pamoja na tukio linaloonyesha mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day akipigwa...

Filamu ya Mtume Muhammad kuziduliwa mwezi Oktoba

Filamu ya maisha ya Mtume Muhammad kuzinduliwa tarehe 28 Mwezi Oktoba Filamu kufuatia maisha ya Utotoni na Ujana wa Mtume Muhammad pamoja na kuelezea mwanzo...

Mwenyekiti wa FA kuskilizwa bungeni

Mwenyeki wa shirikisho la mpira wa migu la Uingereza (FA) Greg Clarke kuskilizwa katika bunge la taifa hilo Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa migu...

RAIS WA CONGO DRC JOSEPH KABILA AMEMALIZA ZIARA YA SIKU TATU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila...

Nigeria kuuza ndege za rais kupunguza ubadhirifu

Nigeria imetangaza kwamba itauza ndege mbili zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo kama njia ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za umma. Msemaji wa Rais...

Maria Sharapova apunguziwa adhabu aliyopewa na CAS

CAS yatoa uamuzi kuhusiana na adhabu ya mwanatenisi wa Urusi Maria Sharapova Mahakama ya kimataifa ya michezo CAS imetangaza kumpunguzia adhabu Maria Sharapova aliyepigwa marufuku...

TFF YAMFUNGIA MWAMUZI SEIF, MANARA, SIMBA, AZAM ZAPIGWA FAINI.

Ofisa wa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini(TFF), Alfred Lucas akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam. MWAMUZI Ahmed Seif...

Marufuku ya kutumia viti vya umeme kwa hukumu ya kifo

Marufuku ya kutumia viti vya umeme kwa hukumu ya kifo Bunge la Ulaya lapiga marufuku uuzaji na utumiaji wa viti vya kielektroniki vinavyotumiwa kutesa na...

MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ZAMPASUA KICHWA MKOANI PWANI

Mkuu wa wilaya bagamoyo mkoani pwani  majid mwanga amekiriki kuwepo kwa migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri kwenye wilaya yake ambapo hivi sasa...

Hakan Çalhanoğlu  ndio mchezaji bora wa wiki Bundesliga

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uturuki na mshambuliaji wa timu ya Bayer Leverkusen Hakan Çalhanoğlu  achaguliwa kama mchezaji bora wa wiki katika ligi...

kiwanda cha Simenti cha Dangote cha vamiwa na kushambuliwa

Kiwanda cha kutengeneza simiti kinachomilikiwa na tajiri wa Afrika, mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote, kimeshambuliwa na waandamanaji katika eneo la Oromia, utawala wa eneo...