Waasi wa Uganda wahukumiwa kifo DRC

DRC yatoa hukumu ya kifo dhidi ya waasi 10 wa Uganda kwa madai ya ukiukaji wa haki za kibinadamu Waasi 10 wa Uganda wameripotiwa kupewa...

Reli ndefu zaidi Afrika ya treni za umeme yazinduliwa Ethiopia

Waziri mkuu wa Ethiopia azindua rasmi reli ndefu zaidi Afrika ya treni za umeme katika mji mkuu wa Addis Ababa Ethiopia imezindua reli ndefu zaidi...

Filamu ya Mtume Muhammad kuziduliwa mwezi Oktoba

Filamu ya maisha ya Mtume Muhammad kuzinduliwa tarehe 28 Mwezi Oktoba Filamu kufuatia maisha ya Utotoni na Ujana wa Mtume Muhammad pamoja na kuelezea mwanzo...

Mwenyekiti wa FA kuskilizwa bungeni

Mwenyeki wa shirikisho la mpira wa migu la Uingereza (FA) Greg Clarke kuskilizwa katika bunge la taifa hilo Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa migu...

RAIS WA CONGO DRC JOSEPH KABILA AMEMALIZA ZIARA YA SIKU TATU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila...

Nigeria kuuza ndege za rais kupunguza ubadhirifu

Nigeria imetangaza kwamba itauza ndege mbili zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo kama njia ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za umma. Msemaji wa Rais...

Maria Sharapova apunguziwa adhabu aliyopewa na CAS

CAS yatoa uamuzi kuhusiana na adhabu ya mwanatenisi wa Urusi Maria Sharapova Mahakama ya kimataifa ya michezo CAS imetangaza kumpunguzia adhabu Maria Sharapova aliyepigwa marufuku...

TFF YAMFUNGIA MWAMUZI SEIF, MANARA, SIMBA, AZAM ZAPIGWA FAINI.

Ofisa wa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini(TFF), Alfred Lucas akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam. MWAMUZI Ahmed Seif...

Marufuku ya kutumia viti vya umeme kwa hukumu ya kifo

Marufuku ya kutumia viti vya umeme kwa hukumu ya kifo Bunge la Ulaya lapiga marufuku uuzaji na utumiaji wa viti vya kielektroniki vinavyotumiwa kutesa na...