MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ZAMPASUA KICHWA MKOANI PWANI

Mkuu wa wilaya bagamoyo mkoani pwani  majid mwanga amekiriki kuwepo kwa migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri kwenye wilaya yake ambapo hivi sasa...

Hakan Çalhanoğlu  ndio mchezaji bora wa wiki Bundesliga

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uturuki na mshambuliaji wa timu ya Bayer Leverkusen Hakan Çalhanoğlu  achaguliwa kama mchezaji bora wa wiki katika ligi...

kiwanda cha Simenti cha Dangote cha vamiwa na kushambuliwa

Kiwanda cha kutengeneza simiti kinachomilikiwa na tajiri wa Afrika, mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote, kimeshambuliwa na waandamanaji katika eneo la Oromia, utawala wa eneo...

Ufaransa yatishia kuiwekea vikwazo DRC

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ,Joseph Kabila ni sharti aheshimu katiba na kujiuzulu mwishoni mwa muhula wake ,waziri wa maswala ya kigeni...

Hatma ya mgogoro wa CUF itamalizwa kwa namna hii

Mgogoro wa CUF kila kukicha unachukua sura mpya. Matamko mbali mbali na maamuzi kadha wa kadha yanatolewa baina ya pande mbili zinazosigana, kwa maana...

Clinton apiga hatua zaidi dhidi ya Trump kufuatia uchaguzi wa urais...

Tathmini za uchaguzi zafanyika nchini Marekani ambapo Clinton aonekana kuongoza dhidi ya wapinzani wake Harakati za uchaguzi na kampeni wa wagombea urais zinazidi kuendelea kwa...

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Steven ameamuru watoto wa kiume...

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Steven ameamuru watoto wa kiume wenye umri mkubwa wanaoishi mitaani mjini Sumbawanga, wacharazwe viboko mahakamani ili warudi na...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA UDOM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri...

Kim Kardashian avamiwa na kuibiwa jijini Paris

Kim Kardashian avamiwa na kuibiwa jijini Paris Watu waliovalia kama polisi walivamia chumba cha hoteli alimokuwa nyota wa Marekani wa  vipindi aina ya 'Reality Show'...