TAMKO LA BODI YA WADHAMINI YA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF...

Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa muda mfupi uliopita bodi ya wadhamini ya CUF imemkana Lipumba kama ni mwenyekiti wa CUF au mwanachama wa chama...

Polisi Dar yamnasa mtuhumiwa sugu wa ujambazi

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu katika maeneo ya Goba nje kidogo...
video

30 WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUWAJI YA WATAFITI WA...

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma Linawashikilia watu thelasini ikiwemo wanaume 21 na wanawake 9 kwa upelezi kuhusiana na mauwaji ya watafiti wa kituo cha...

HASSANOO, KABURU WAULA TENA CHAMA CHA SOKA MKOA WA PWANI COREFA

CHAMA cha soka Mkoa wa Pwani (COREFA) kimepata safu mpya ya uongozi wataoongoza kwa kipindi cha miaka minne ambapo katika   nafasi ya mwenyekiti...

Rais Dk. Magufuli Akutana na Makamu wa Rais wa Cuba, Ikulu...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa mara baada ya kuwasili...

BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR YAGAWA DAWA KATIKA HOSPITALI NA VITUO...

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Afya imesema itahakikisha kwamba Hospitali na Vituo vyote vya afya vinapatiwa dawa zote muhimu kwa ajili ya wananchi. Mkurugenzi wa...

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla afanya ziara katika Hospitali ya...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya Iramba Mkoani Singida...

Maandamano ya ghasia yasababisha vifo nchini Ethiopia

52 wafariki kwenye mkanyagano uliotokea wakati wa maandamano dhidi ya serikali Ethiopia Watu 52 wameripotiwa kupoteza maisha kwenye mkanyagano uliotokea wakati wa maandamano dhidi ya...

Wizara ya Afya yasogeza mbele mafunzo ya vitendo ‘Internship’ kwa watalaam...

Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia ,wazee na watoto inawatangazia wahitimu wote wa vyuo vikuu vya kada mbalimbali za afya wanaopaswa kufanywa mafunzo...