Ndege iliompleka Lissu Nairobi yazua mzozo

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemjia juu Spika wa Bunge, Job Ndugai akimtaka kuacha kudanganya kuwa ndege iliyomsafirisha Tundu Lissu ilikodiwa na...

Yusuf Manji Sasa yuko huru

Mahakama imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati mahakamani hapo ikionyesha kuwa...

Zifahamu Dalili ,Vyanzo na Aina za magonjwa ya fangasi yanayo...

MADA ZA AFYA Na Dr Samson Kibona wa Antipa Herbal Clinic 1.       MAGONJWA YANAYOTESA WANAWAKE Kuna aina nyingi za magonjwa ktk jamii, yapo ya watu wazima waume kwa...

Ndugai ajibu tuhuma za Lema

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amejibu tuhuma za mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, na kumtaka asipotoshe wananchi,...

Roy Hodgson awa Meneja mpya wa Klabu ya Crystal Palace

Klabu ya Crystal Palace ya Uingereza imethibitisha kumteua, Roy Hodgson kuwa Meneja mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Meneja huyo wa zamani...

Polisi Russia wasumbuliwa na matishio feki ya mabomu

Polisi wa miji kadhaa mikubwa nchini Russia, ikiwemo Moscow, wamesumbuliwa na ripoti nyingi feki za matishio ya mabomu. Hadi sasa operesheni za kutafuta mabomu...

Polisi Yazuia Mkutano wa Kumuombea Tundu Lissu

CHADEMA Mkoani Rukwa jana kimeshindwa kufanya ibada ya maombi kwa ajili ya Mwanasheria Mkuu wa Chama chao, Mh. Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi hivi...

Mapacha walioungana watinga chuo kikuu

Pacha walioungana Maria na Consolata wamewasili katika Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki Ruaha (Rucu) kujiandaa kwa masomo ya shahada ya elimu. Wamesema leo Jumatano kuwa...

Aliyeua askari 8 Kibiti auawa na polisi

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuua jambazi sugu, Anaf Kapela ammbaye alishiriki katika matukio mbalimbali likiwemo la mauaji ya askari...

Mlinzi wa Meja Jenerali aliyejeruhiwa kwa risasi akamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili akiwemo mlinzi wa Suma JKT na mhudumu wa benki ya NBC tawi...

Valerie Msoka” kunahitajika kuwepo umuhimu wa kusimamia huduma ya mitandao hiyo...

Wamiliki wa mitandao ya kijamii wameaswa kuchuja habari zao ambazo wamekuwa wakizipata na kuzisambaza kwa jamii kwa njia mbalimbali ikiwemo kwa Redio ama televisheni...

David Mattaka na mwenzake waliokua ATCL kulipa faini ya Sh35...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni...