MATOKEO YA KIDATO CHA PILI HAYA HAPA….

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi...

Manchester City yashinda nusu fainali ya kwanza kwa magoli 2-1 ilipocheza...

Klabu ya Manchester city imeshinda mechi yake ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la ligi nchini Uingereza kwa magoli 2-1 ilipocheza dhidi Bristol...

Misri yatangaza hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu

Bunge la Misri limetangaza kurefusha muda wa hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine ambao ulianza kutekelezwa mwezi Aprili mwaka jana baada...

Walimu wakuu 31 washushwa vyeo na Mnyeti

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametengua uteuzi wa walimu wakuu 31 wa shule za msingi wilayani Kiteto, ambao shule zao hazikufikia asilimia...

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARI 10, 2018

                                                             

LEONARD:TAARIFA ZINAZO SAMBAA MITANDAONI KUWA AUGUSTINO MREMA AMEFARIKI NIZA UONGO NA...

Mjukuu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa TLP  Leonard Mrema akanusha taarifa zinazo sambaa kuwa Augustin Lyatonga Mrema kuwa amefariki Dunia Akizungumza hivi punde kwa njia ya simu ...

Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe....

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu...

Muslim Hassanali,:”Nimekosoa Serikali vya kutosha ila sasa ni muda wa kushirikiana...

Aliyewahi kugombea ubunge wa jimbo la Ilala 2015 kwa tiketi ya CHADEMA na mjumbe bodi ya wadhamini wa chama hicho Muslim Hassanali,Ajitafakari kwanza ndipo  kuhamia...

Diwani wa Chadema Iringa aeleza siri ya wenzake kujiuzulu

Diwani Kata ya Mivinjeni (Chadema), Frank Nyalusi ametaja sababu za madiwani wanane wa chama hicho kujiuzulu kuwa ni mgogoro uliotokana na uchaguzi wa naibu...