WANARIADHA WAWILI WAKITANZANIA WAFUNGIWA MIAKA MINNE KWA KASHFA YA MADAWA YA...

Na Michael Nanyaro Chama cha riadha nchini RT kimewafungia wanariadha wawili kwa kipindi cha miaka minne kwa kosa la kujihusisha na matumizi ya dawa za...

TFDA YAZIFUTIA USAJILI NA KUZUIA MATUMIZI YA DAWA MABALIMBALI ZA BINADAMU...

Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imezifutia usajili dawa mbalimbali za kutibu magonjwa ya binadamu na kuziondoa kwenye soko pamoja na kusitisha matumizi yake...

ZUIO LA SHAIDI WA 12 SAKATA LA KESI YA MAUWAJI YA...

Mvutano wa kisheria umeibuka katika Mahakama Kuu Kanda ya Moshi baada ya shahidi wa 12 upande wa mashtaka kuweka mapingamizi mawili likiwamo la kumkataa...

MKATABA WA MKOPO WA SH.340 KUUFANYA MKOA WA IRINGA KUWA KITOVU...

Serikali imesaini mkataba wa mkopo nafuu kutoka Benki ya Dunia (WB) wenye thamani ya Sh340 bilioni kwa ajili ya kufungua utalii kwenye mikoa ya...

MLIPUKO WA BOMU SHULE YA MSINGI KIHINGA WILAYANI NGARA WAUWA WANAFUNZI...

Wanafunzi watano wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa baada ya kulipukiwa...

MKURUGENZI WA UFUNDI WA KLABU YA CHELSEA AJIUZULU ……MSTAKABALI WA CONTE...

Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Chelsea, Michael Emanalo amejiuzulu huku pia mustakabali wa kocha Antonio Conte ukiwa mashakani. Habari zinaeleza kuwa, kuondoka kwa Emanalo...

SIMU YA MBUNGE WA KIGOMA MJINI YACHULIWA NA VYOMBO VYA DOLA...

Simu ya mkononi ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe imechukuliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili. Zitto ambaye ni...

MASHTAKA MAWILI YANAYO MKABILI AFISA MSAIDI FORODHA WA TRA KUSOMWA...

Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi, Desemba 6,2017 atasomewa maelezo ya awali. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mshtakiwa...

ZAIDI YA BILIONI 700 ZINATAJIWA KUONGEZEKA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2018/2019

Serikali imesema bajeti yake inatarajiwa kuongezeka kwa Sh700 bilioni na kufika Sh32.4 trilioni mwaka wa fedha 2018/19 kutoka Sh31.7 trilioni za mwaka huu. Hayo yamebainishwa...

ELIMU YA KUZITUMIA MASHINE ZA EFD ZAHITAJIKA KWA UONGOZI WA HALMASHAURI...

MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ameuagiza uongozi wa Halmashauri hiyo kutoa elimu kwa Maofisa watendaji wa kata waliopo katika Halmashauri hiyo,juu...

OPERESHENI YA UKUTA MERERANI YATEMBELEWA NA RC:MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, amekagua ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro. Mnyeti alitembelea...