26 waokolewa kutokana na maharamia wa Somalia nchini Kenya

Kundi la watu wapatao 26 waokolewa kutoka mikononi mwa maharamia wa Somalia waliokuwa wamewateka nyara kwa muda wa miaka 5 . John Steed ambaye ni...

Shambulizi la mabomu la kujitoa muhanga lasababisha vifo vya watu wawili...

Mlipuko wa kujitoa mhanga ulitegwa kwenye gari uliotokea jana usiku mjini Mogadishu nchini Somalia na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine wanne kujeruhiwa. Mkuu...

HII HAPA ORODHA YA WASHINDI TUZO ZA MTV MAMA 2016

  Jiunge na Bongo5.com sasa

Swali analojiuliza Samatta kuhusu kuchelewa kwa Farid Hispania

Usiku wa April 22 2016 winga wa Azam FC mtanzania Farid Musa aliondoka Tanzaniana kwenda Tunisia na baadae alienda kufanya majaribio Hispania katika klabu...

RAIS MAGUFULI AAGIZA BODI YA MIKOPO KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza...

MAHAKAMA YAZUIA MKUTANO YANGA KESHO, MANJI ANAUNGURUMA LEO DAR

MKUTANO Mkuu wa dharula wa klabu ya Yanga uliokuwa ufanyike kesho umezuiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kufutia kesi iliyofunguliwa...

MWENYEKITI ALIYE MLIMA MWANANCHI KATIKA MTAA WAKE AKIRI KOSA NA KUOMBA...

MWENYEKITI WA SERIKALI MTAA WA OL'KERIAN  ALIYE MLIMA MWANANCHI KWA JEMBE KICHWANI KISA UGOMVI WA KUGOMBEA MFEREJI WA MAJI  AKIRI KUWA ILIKUWA BAHATI MBAYA...

Sharti ya upandaji miti kwa wanafunzi nchini Tanzania

Kwanzia mwaka 2017,wanafunzi wanaoanza shule ya msingi na upili watatakiwa si kubeba vitabu pekee bali pia na miche ya miti nchini Tanzania . Sheria hiyo...

Ajali ya treni yasaabisha vifo na majeruhi Cameroon

55 wafariki, 600 wajeruhiwa kwenye ajali ya treni ya abiria iliyotokea nchini Cameroon Watu 55 wameripotiwa kupoteza maisha na wengne zaidi ya 600 kujeruhiwa kufuatia...

Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho atembelea Makao Makuu ya...

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akimkabidhi nembo ya JWTZ Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho Luteni Jenerali Tlali Kamoli,...

MUUGUZI HOSPITAL YA WILAYA YA CHUNYA MBEYA ATIWA MBALONI KWA KUDAIWA...

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Rehema Madusa akizungumza na watumishi wa hospital ya Wilaya ya Chunya kufuatia tukio la mama mjamzito kifanyiwa vitendo vya...

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UJENZI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa...

Kongamano la kimataifa kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwenye mtandao lafanyika...

Kongamano la pili la kimataifa kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwenye mtandao, lililoandaliwa na Baraza la kimataifa la mapambano dhidi ya ugaidi, limefanyika leo...