MONDULI wasitisha majadiliano ya kuondoa watu waliovamia mashamba yalifutiwa hati na...

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya MONDULI mkoani ARUSHA,wamekubaliana kuwa mashamba yote kumi na matatu  yaliyofutwa na serikali pamoja na yale waliyopendekeza yafutwe, yasifanyiwe...

Changamoto ya malisho ya mifugo yawatatiza wafugaji KATAVI

Umoja wa wafugaji  mkoa wa KATAVI umekutana  na kujadili changamoto ya ukosefu wa maeneo  ya malisho kutokana na kutokuwa na maeneo ya malisho. Akizingumza katika...

MKOA WA KILIMANJARO KUTAJA ORODHA YA WAUZA MADAWA YA KULEVYA

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akizungumza na wananchi mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Ushirika wakati wa uzinduzi rasmi wa mazoezi...

Spika wa Bunge Job Ndugai akemea wabunge kukamatwa Kibabe

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amekemea tabia ya ukamatwaji wa wabunge wanapokuwa kwenye vikao vya Bunge na...

Anaswa na mzigo wa dawa za kulevya chumbani….. RPC Mwanza asimulia...

Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya yanayodhaniwa kuwa heroine kiasi cha pinchi 240...

Jaji Mkuu wa KENYA atembelea mahakama ya Afrika ARUSHA

aji  Mkuu wa KENYA, DAVID MARAGA ametembelea mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyopo jijini ARUSHA, na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais...

TCRA YAZIPIGA PINI MICHUZI TV, AYO TV NA GLOBAL TV, YAANDAA...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandaoni hadi hapo kanuni za usajili rasmi...

Serikali yasema imeunda tume ya Umwagiliaji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi GERSON LWENGE amesema serikali imeanzisha Tume ya Umwagiliaji kwa kuwa miradi mingi ya kilimo cha umwagiliaji imekumbwa na...

Wema Sepetu Kaachiwa Huru Kwa Dhamana ya Sh. Milioni 5

Msanii wa filamu  nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, mchana huu  amepandishwa kizimbani kwenye mahamaka ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Akisomewa mashtaka na...

Polisi MWANZA waagizwa kuongeza mapambano ya dawa za kulevya

Jeshi la polisi mkoani MWANZA limewaagiza maafisa mbalimbali wa jeshi hilo kuongeza mapambano dhidi ya biashara ya dawa za kulevya na kuwataka wale wanaojihusisha...

Kutoka magazetini leo

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya February 9

JWTZ yatoa ufafanizi uvaaji wa sare za jeshi hilo kwa viongozi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania –JWTZ limetoa ufafanuzi kuhusu uvaaji wa sare za jeshi kwa viongozi wanajeshi wanaoteuliwa na kupewa madaraka mbalimbali...

Kamanda Sirro aeleza hatma ya Wema Sepetu

Wema Sepetu bado anaendelea kushikiliwa na polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za dawa za kulevya ambapo jana baadhi ya watuhumiwa wenzake walifikishwa...

RC PAUL MAKONDA ATAJA LIST NYINGINE NI KUHUSU SAKATA LA...

Msikilize hapa akiwataja kwa majina......