Mkurugenzi wa mashtaka afuta kesi Scorpion

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfutia shtaka linalomkabili mshtakiwa Salumu Njwete baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe mahakamani kwa sababu hawana...

SOKWE,PANYA PORI,POPO ,CHITA NA NGEDERE HULIWA KWA WINGI EQUATORIAL GUINEA

Mamia ya aina ya wanyama kundi mamalia ikiwemo sokwe, viboko na popo - wanaripotiwa kupotea kwa kuliwa na binadamu ,hii ni kwa mujibu wa...

Obama amtaka Trump kuacha kulalama kwamba anafanyiwa hila

Rais Barack Obama wa Marekani amemshutumu mgombea Urais nchini humo kupitia chama cha Republican Donald Trump kwa madai anayotoa kwamba kuna hila dhidi yake...

NHC YAIBUKA KIDEDEA .MAOMBI YA MBOWE HOTELS YATUPILIWA MBALI

 MAHAKAMA Kuu Tanzania, Divisheni ya Ardhi, imetupilia mbali maombi ya Kampuni ya Mbowe Hotels Limited inayomikiwa na Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Demokrasia na...

Wanajeshi wa Sudan Kusini wamewashambulia waasi huko Malakal

Jeshi la Sudan Kusini linaeleza kwamba wanajeshi wake wamewaua zaidi ya waasi 50 na wafuasi wa kundi la wanamgambo na kuwajeruhi wengine kadhaa wakati...

Bw. Ban Ki-Moon atoa wito wa kuondoa umaskini na kujenga jamii...

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon ametoa hotuba katika siku ya kimataifa ya kutokomeza umaskini akitoa mwito wa kuondoa aina zote...

Waandamanaji 567 wakamatwa nchini Afrika Kusini

Kamanda wa Polisi wa Afrika Kusini Bw. Khomotso Phahlane amesema tangu mwezi Februari mwaka huu hadi sasa polisi wamewakamata waandamanaji 567 waliofanya maandamano ya...

Liverpool na Manchester United hakuna mbabe, Pogba atupiwa lawama na mashabiki...

Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England kati ya majogoo wa London, Liverpool pamoja na mashetani wekundu, Manchester United umemalizika kwa suluhu...

LEO ANFIELD PATACHIMBIKA

MACHO na masikio ya wapenzi wa soka duniani baadae leo watakuwa luningani kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ambao utazikutanisa timu mahasimu Liverpool dhidi ya...

AUDIO:KICHANGA CHALIWA NA MBWA MKOANI MANYARA

Akizungungumza na Sunrise Radio kutoka mkoani Hapo Kamanda wa polisi Frances Masawe Amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na hapa anaeleza BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA

TAARIFA KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOANI TABORA

Sauti ya kamanda wa polisi akidhibitisha kutokea kwa matukio manne tofauti yakihusisha zaidi tuhuma za mauwaji