CCM yazungumzia mambo mawili makubwa yanayoendelea

Chama cha mapinduzi (CCM) leo May 25 2017 Dar es salaam kimezungumza na Waandishi wa habari kupitia kwa Katibu wake wa itikadi na uenezi...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga azuiwa kuingia mgodi wa Bulyanhulu

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo...

Kodi kumpeleka Messi jela miezi 21

Mahakama kuu nchini Hispania imethibitisha adhabu ya kifungo cha miezi 21 jela na faini ya dola za Kimarekani milioni 2.2 dhidi ya Lionel Messi...

Update:Magufuli atengua uteuzi waziri wa nishati na madini Sospeter...

Taarifa kutoka ikulu imesema uamuzi huo wa Rais umeanza kutekelezwa mara moja, na kuwa nafasi hiyo itajazwa baadaye. Dkt Magufuli amechukua hatua hiyo saa chache...

UPDATE:MAGUFULI AVUNJA BODI YA TMAA NA KUAGIZA WAFANYAKAZI WA BODI HIYO...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli Amsimamisha kazi Chief Executive Officer wa TMAA na Avunja Bodi hiyo pia aagiza vyombo...

Waziri wa zamani Kongo DR kuchunguzwa kwa kuhusishwa na machafuko ya...

Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema amefungua faili la uchunguzi dhidi ya aliyekuwa waziri wa serikali hiyo Clement Kanku...

Ripoti ya uchunguzi wa makontena ya mchanga kutua kwa JPM kesho

Rais John Magufuli kesho, Jumatano atapokea taarifa ya kamati maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini (Makinikia) yaliyopo katika maeneo...

Mauaji Pwani yaacha machungu

Rufiji na Kibiti tayari watu 31 wameshauawa kuanzia Mei mwaka jana, wakiwamo viongozi 15. Kwa kujumlisha na Kilwa, vifo ni viongozi wapatao 20 wa...

Kongamano la maonesho ya biashara na viwanda Afrika Mashariki laanza mjini...

Kongamano la pili la maonesho ya Biashara ya Viwanda Afrika Mashariki (East Africa Manufacturing Business Summit-EAMBS) limeanza rasmi hii leo tarehe 23 katika hoteli...

Majeruhi wa Lucky Vincent wazungumza kwa mara ya kwanza wakiwa wodini...

Madaktari wa Hospitali ya Mercy, ya Marekani wamesema watoto  watatu majeruhi wa ajali ya Lucky Vincent, wanaendelea vyema. Kwa mujibu wa Mbunge wa Singida Kaskazini,...