CUF Wakanusha Taarifa za Maalim Seif Kutaka Kukihama Chama Hicho

Chama cha Wananchi (CUF), kimesema taarifa zinazosambazwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kwamba Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad anataka kuhama...

PICHA: Ajali ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi...

Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa jana baada ya lori kugonga gari...

Mwanafunzi wa darasa la 5 Ajinyonga

Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kizota mjini Dodoma, Yasin Abdallah (13) amekutwa amejinyonga bafuni nyumbani kwao baada ya kuchukizwa kufanya...

Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema kuwa wanafunzi 526,653 kati ya 555,291 waliofaulu mtihani...

Rwanda yashtumiwa kupanga shambulizi la kutaka kumuua msaidizi wa Rais wa...

Nchi ya Burundi imeishutumu Rwanda kwa madai ya kupanga kufanya majaribio ya kutaka kumuua msaidizi wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe.   Msemaji wa jeshi la...

Ndege iliyobeba wachezaji wa timu ya soka ya Brazil yaanguka Colombia

Ndege iliyobeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa klabu moja ya soka ya Brazil, imeanguka eneo la Medellin nchini Colombia. Taarifa zinasema watu 25 wamethibitishwa kufariki...

Wizara ya Elimu yakanusha taarifa yawanafunzi wa Diploma kuzuiwa kujiunga vyuo...

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala...

Watumiaji wa saruji Dangote njia panda

Taarifa za kuaminika kutoka Mtwara ziliiarifu Nipashe wiki iliyopita kuwa kiwanda ambacho ni kikubwa zaidi katika uzalishaji wa saruji nchini, kimesitisha shughuli zake.  Mkurugenzi Mtendaji...

Ronaldo afunga nane mechi nne

Magoli mawili aliyo ifungia Real Madrid kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Sporting Gijon yamemfanya kukamilisha idadi ya magoli nane katika mechi nne za...

Chemical: Sina haraka na mapenzi

Msanii huyu amekuwa akitamba kwa nyimbo mbalimbali zikiwamo za 'I am Sorry Mama', Sielewi, Kama Ipo Ipo tu, VIP Party na Mary Mary', ambazo...

Shein atuma salamu kifo cha Castro.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein ametuma salamu za rambirambi kwa Raisi wa Jmuhuri ya Cuba ,Raul...

RC Makonda atembelea Uwanja wa Fisi wanapofanya biashara ya ngono….Aahidi Kupavunja...

Jumapili Novemba 27 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es...

CUF Yanyimwa Ruzuku….Maalim Seif Ataja Hujuma 9 Zinazofanywa na Profesa Lipumba

Katibu  Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameibuka na kutaja utatu unaojumuisha mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, Msajili wa Vyama vya...

Rais wa zamani wa Cuba, Fedil Castro (90)afariki Dunia

Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba, Fidel Alejandro Castro Ruz akifahamika zaidi kama Fidel Castro amefariki dunia.Kituo...