KAULI YA AZAM KUHUSIANA NA SWALA LA FARID MUSSA KAMA HATOSAJILIWA...

amoja na kwamba safari ya kiungo wa Azam, Farid Mussa kwenda Hispania katika Klabu ya Tenerife kuonekana kukwama kutokana na kiungo huyo kukosa hati...

Mwanafunzi Apigwa Risasi na Polisi Dar…….Askari Wawili Watiwa Mbaroni

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari Gerezani, Shakil Sures amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kujeruhiwa kwa...

Mahakama yataka Neymar kufungwa miaka 2 jela

Waendesha mashtaka nchini Uhispania wamemtaka mshambuliaji wa Barcelona Neymar kuhudumia kifungo cha miaka miwili jela kufuatia kuhusika kwake katika kesi ya ufisadi kuhusu uhamisho...

Wawili wauawa mgogoro wa wakulima na wafugaji

Wakazi wa Rufiji mkoani Pwani wamekumbwa na taharuki baada ya kutokea kwa mauaji ya watu wawili mkulima na mfugaji wilayani humo na maiti zao...

Hukumu yatolewa kwa muathirika wa UKIMWI aliyenajisi watoto 100.

Siku chache baada ya kuripotiwa taarifa za kukamatwa kwa mwanaume mmoja kutoka Malawi ambaye inadaiwa alikuwa akiwanajisi watoto wadogo wanaotajwa kufika 100 kwa maelezo...

Wafuasi wa Trump wakerwa na uamuzi kuhusu Clinton

Wafuasi wahafidhina wa rais mteule wa Marekani Donald Trump wamelalamikia uamuzi wa kiongozi huyo wa kutofuatilia uchunguzi mpya kuhusu kashfa ya barua pepe iliyomkabili...

Zlatan Ibrahimovic ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa mara...

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uswiz anayechezea kilabu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic, amebeba tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa...

Godbless Lema Anyimwa Dhamana Kwa Mara Nyingine Tena

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amekwaa kisiki kwa mara nyingine katika harakati za kuomba dhamana baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutupilia...

YANGA YATAMBULISHA BENCHI JIPYA LA UFUNDI

HATIMAYE klabu ya Yanga leo imemtambulisha rasmi, Mzambia George Lwandamina kuwa kocha wake mpya na Hans van der Pluijm kuwa Mkurugenzi wa Ufundi. Akizungumza na...

Bibi amlisha kinyesi mjukuu wake Jijini Mwanza

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Amina Hamisi (56) mkazi wa mtaa wa mahina kata ya Butimba Jijini Mwanza, anashikiliwa na polisi baada ya...

SIMBA YAITISHA MKUTANO WA MABADILIKO YA KATIBA WAMKABIDHI TIMU MO DEWJI

KAMATI ya Utendaji ya Simba SC iliyokutana Novemba 18, Dar es Salaam imeitisha mkutano maalum kwa ajili ya mabadiliko ya Katiba utakaofanyika mwezi ujao...

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kasulu Mjini(NCCR) na kuhamia ACT-Wazalendo, Moses Machali...

Kutoka mezani kwangu Moses Joseph Machali, Tarehe: 21/11/2016 Napenda kuutaarifu umma wa Watanzania kupitia kwenu waandishi wa habari kwamba ni jambo la ajabu na aibu...