MANJI ATOA ENEO LENYE UKUBWA WA HEKARI 715 KWA CLUB YA...

MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji ameipa klabu hiyo eneo la ekari 715 lilipo Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam.Wasaidizi wa Manji wamekabidhi...

Rais Uhuru Kenyatta atuma ujumbe wa rambirambi kwa Israel kufuatia kifo...

  Ujumbe wa rambirambi wa Kenyatta kwa Israel Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliungana na viongozi wengine duniani kufariji Israel na familia ya rais wa zamani...
video

LIGI YA NGAZI YA TAIFA NGAZI YA WILAYA YA ARUSHA KUENDELEA...

Ligi ya Taifa ngazi ya Wilaya ya Arusha inaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali Jijini Arusha, Jumanne ya wiki hii imefanyika michezo miwili na mingine...

MISS ARUSHA KUELEKEA DAR KUSAKA TAJI LA MISS TANZANIA

Miss Arusha na Kanda ya Kaskazini 2016 Mourine Ayoub anatarajia kuondoka Mkoani Arusha  Alhamis hii Tarehe 29/9/2016 kuanza kambi ya Miss Tanzania 2016 Akizungumza na Sunrise...

Iwobi aomba kucheza dhidi ya Wenger katika FIFA

Ifikiapo siku ya Jumamosi Meneja wa Arsenal Arsene Wenger atakuwa ameiongoza klabu hiyo kwa takriban miaka 20. Hiyo ni miongo miwili katika klabu ambayo jina...

Klopp: Liverpool wanaweza kutwaa taji Uingereza

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema bado kuna nafasi ya kuimarika kama kikosi chake kinataka kupigania taji la Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu...

Wakandarasi wanaofunga nyaya za umeme watakiwa na kuwa na kibali cha...

Wakandarasi wote wanaofanya kazi ya wanaofunga nyaya za umeme ndani ya nyumba (wiring),  wametakiwa  kuhakikisha kuwa hawafanyi kazi hiyo mpaka wawe wamepata idhini kutoka...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili...

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MSAADA WA TSH.MILIONI 545 KUTOKA SERIKALI...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya mara baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi...

Mfalme wa Jordan azuru Kenya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano katika...

Ushirikiano wa sekta ya ulinzi kati ya Kenya na Jordan Mfalme wa Jordan Abdullah II ametekeleza ziara yake nchini Kenya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano...

RAIS MAGUFULI KUZINDUA NDEGE MPYA KESHO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na...
video

ZIARA YA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA BANDARI YA DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo katika  chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini  katika bandari...

Mwinjilisti ajinyonga baada ya kumuua binti yake

 Mwinjilisti wa kanisa la African Inland church (AICT) katika kijiji cha Kaseme wilayani Geita, Charles Kazereng'wa amejiuwa kwa kujinyonga baada ya kumuuwa binti yake...